ati ndoto zako ni noma mpaka zi huanza… previously on..
Mmesota hadi nyi hukula ugali na story za nyama
Ati kwenu nyinyi wachafu mpaka mkimaliza kuoga sabuni inawasengenya
Budako ana mikono ngumu, akishika kobole, inampatia change ya mafeeu
We ni mzee Hadi ukifanya 180 unahara bluband.