Origin: -
Use: Leo siendi daro ya madhafu = Today i am not attending mathematics class
Period: Mid 90's
Synonyms: Unknown
Pronounciation: (Adjective) [ Ma-dha-foo ]
No replies yet. Start the conversation.
We m-ugly mpaka kipofu anavaa paperbag kukubinja
Ati siz yako ni mnono mpaka chali yake humshow ‘u r 2 in a million.
We ni mrefu mpaka ukichoka kaa unatembea mtaani unajisupport na wire za simu
ati kwenu ni wafupi hadi mnadishi mkiwa chini ya meza
Nyinyi kwenu ni wa black mkiingia kwa moti yenyu dirisha zinakuwa tinted