Origin: Unknown
Use: Dimanga za kujenga hutoka quarry = Building stones come from the quarry
Period: Unknown
Synonyms: Unknown
Pronounciation: (Noun) [ Kwa-reh ]
Relate: Construction
No replies yet. Start the conversation.
ati nyinyi wadosi mpaka mkienda ocha mnabeba nguo kwa flash disk
Wewe ni mrefu mpaka ni wewe huongezea jua makaa
Wewe ni miser mpaka ukiwa kwa KBS back seat ukiitishwa doo unapoint nyuma
TV yenu ndogo na nyinyi ni wengi mpaka mkitaka kuiona nyi wote lazima kila mtu afunge macho moja
Paka yenyu imeona mamovie mpaka ikifuata panya inalia tereng! tereng!