Origin: -
Use: Saidi anatry kuwahi Linda = Saidi is trying to bed Linda (have sex with Linda)
Period: Unknown
Synonyms: Unknown
Pronounciation: (Verb) [ Koo-wa-hee ]
Relate: Miscellaneous
No replies yet. Start the conversation.
Una kichwa kubwa mpaka dream zako zushow in dolby surround.
We mfupi mpaka unatoka kwa basi na parachute
Ati kwenu nyinyi wachafu mpaka mkimaliza kuoga sabuni inawasengenya
Kwenu muko wadosi mpaka kuku zenu zinafanya aerobics saa kumi na kunywa juice instead ya maji
wewe ni mrefu hadi una magoti tatu kama ngamia