Origin: Unknown
Use: Jana ule mjama alikuwa guege = Yesterday that guy was drunk.
Period: Mid 90's
Synonyms: Unknown
Pronounciation: (Verb) [ Koo-wa-ge-eeg ]
History: Derived from swahili 'KUWA'which means 'TO BE' and english word 'GUEGE'
No replies yet. Start the conversation.
wewe ni mkonde mpaka ukisimama Kwa wall unakaa crack
Ngozi ya nyanyako ni tight mpaka aki wink, mguu yake inainuka
We mchafu mpaka nzi ikikulandia inavaa slippers
nasikia uko na nywele moja moja kama shamba ya cartoon
Kwenyu nyinyi wachoyo mpaka mkipika kuku mnakula kama hamjawasha stima