Origin: Unknown
Use: Naweza kuvaa ukicheza na mimi= I will beat you up if you continue playing with me
Period: Unknown
Synonyms: Kurwada
Pronounciation: (Verb) [ koo-vah ]
Relate: Kuhanda Ndondi Blow Buti Nyaunyo
No replies yet. Start the conversation.
Fathako mchafu mbaka ana mtaro kwa kifua
Ati wewe ni mzee hadi ukizaliwa “OLD TESTAMENT” ilikuwa inaitwa “TESTAMENT”
Ati wewe ni kichwa ngumu hadi ulikataa kuzaliwa uchi!
ati nyinyi wadosi mpaka mkienda ocha mnabeba nguo kwa flash disk
Ulimeza cassette ya koffi ukanyamba ndombolo