Origin: Unknown
Use: Best yangu manzi yake anashema jo = MY friends girlfriend she does not pronounce words approrietly
Period: Late 90's
Synonyms: Unknown
Pronounciation: (Verb) [ Koo-shee-mah ]
History: unknown
No replies yet. Start the conversation.
Budako uhepa job kwenda kucheza katii na mboch
ati nime sikia we ni munono adi uki faa shirti ya yellow una kaa school bus
Ati mtoi wenu alizaliwa akiwa mblack mpaka doki akasema, ” Kameungua”.
uko na nywele moja moja kama shamba ya cartoon
Wewe ni mrefu mpaka ukivaa trao inaisha fashion kabla ifike kwa waist