Origin: Unknown
Use: Maidhaa ikifika ya kujitoa itanibidi kupepea = When time comes to leave i will go.
Period: Unknown
Synonyms: Unknown
Pronounciation: (Verb) [ Koo-pe-pe-aah ]
Relate: Kuishia
Variations: -,
History: Derived from a swahili word 'KUPEPEA' means to which to fly
No replies yet. Start the conversation.
Tv yenyu nzee mpaka mkishuta kwa hao wasee wa kbc wanafunga mapua
Wewe ni mshort mpaka ukikalia kwa pavement miguu ina hang kwa hewa
Asubuhi asubuhi toast mayai na jasho ya makende
Mathako ni mshamba mpaka the first time alipanda mathree alitandika vitambaa
We mzee na danda mbaka ulikuwa naso na onyato ati na ujamada form four bado