Origin: CBD
Use: Itabaki kunyaa ndio zako = You will have to shut up
Period: Mid 90's
Synonyms: Unknown
Pronounciation: (Verb) [ Koo-nyaa ]
History: Adopted from swahili word 'KUNYAMAZA' which means to shut up
No replies yet. Start the conversation.
Umekonda mbaya mkicheza birikicho unajifichanga Kwa sindano
Tv yenyu nzee mpaka mkishuta kwa hao wasee wa kbc wanafunga mapua
Budako uhepa job kwenda kucheza katii na mboch
Nyinyi ni wadosi hadi dogi zenu zina dogi za kuzichunga.
Wewe ni mrefu mpaka ukivaa trao inaisha fashion kabla ifike kwa waist