Origin: Unknown
Use: Beste yangu anapenda kunoki dem wowote anapatana naye = My friend loves falling in love with any chick he meets.
Period: Early 90's
Synonyms: Unknown
Pronounciation: (Verb) [ koo-noo-kee ]
Relate: Kumkufa
Variations: -,
History: -i
No replies yet. Start the conversation.
Asubuhi Asubuhi Patco na mapera
Asubuhi asubuhi goodygoody na makojo ya ngamia
Kwenu muko wadosi mpaka kuku zenu zinafanya aerobics saa kumi na kunywa juice instead ya maji
Kwenyu nyinyi wachoyo mpaka mkipika kuku mnakula kama hamjawasha stima
Nyumba yenu imejengwa na ugali, wezi wakikuja wanasema “fungueni ama tutarudi na sukuma”