Origin: Unknown
Use: Niki kupatia hii mzigo unaona inaweza kulemea = In case i give you this laggage do you think it will oppress you.
Period: Unknown
Synonyms: Unknown
Pronounciation: (Verb) [ ku-le-me-aah ]
Variations: -,
History: Derived from swahili word 'KULEMEA' which means to oppress another
No replies yet. Start the conversation.
Kwenyu nyinyi wachoyo mpaka mkipika kuku mnakula kama hamjawasha stima
Nyanyako ni kipofu lakini mwachie kwa kuchagua ngotha za valentine
We ni mzee Hadi ukifanya 180 unahara bluband.
ukona maskio kubwa Hadi ukizaliwa daktari alikushika kama trophy
Umezoea kula mogoka hadi unaogopa kumeza mboga