Origin: Unknown
Use: Ukileta ufala kukusamba ndio zangu = If you bring nonesense i will beat you up
Period: Early 2000
Synonyms: Unknown
Pronounciation: (Verb) [ Ku-ku-sa-mbah ]
No replies yet. Start the conversation.
wewe ni mkonde mpaka ukisimama Kwa wall unakaa crack
ATI budako ni mzee Hadi akona kaburi Kwa makende
wewe ni mrefu hadi una magoti tatu kama ngamia
Uko mweusi mpaka kwa night class unashow meno ndio usimakiwe absent
kwenu mko wengi hadi mkipakuliwa dishi mwenye amekula fiti ni mwenye amelamba mwiko.