Origin: Unknown
Use: Jana usiku nilikung'uta madingo wawili walipata kudidigo ndio zangu wakijaribu kunisanyia = Yesterday night i beated two thieves whom tried to steal from me while i was still alert
Period: Unknown
Synonyms: Unknown
Pronounciation: (Verb) [ Ko-de-de-goh ]
No replies yet. Start the conversation.
Paka yenu noma mpaka ikishika panya inaitisha chumvi
Chali yako ni mkonda alibloiwa na wind mpaka S.Africa na hana passport
Uko mweusi mpaka kwa night class unashow meno ndio usimakiwe absent
Kwenyu muko wengi, ukifungua mlango watu watatu wanadunda inje
We mrefu mpaka ukianza kuvaa handa by the time ifike kwa magoti ime rust