Origin: Unknown
Use: Leo naenda kuchongoa Deno = Today I'll roast Dennis
Period: Late 60's
Synonyms: Mchongoano
Pronounciation: (Verb) [ koo-cho-ngo-a ]
Relate: Human interactions
No replies yet. Start the conversation.
Umeunga mpaka unatoanga ngozi ya miwa ka ndizi
Kwenu nyi ni ma-miser mpaka price ya colgate ikipanda mnateta na hamna meno
Ati mtoi wenu alizaliwa akiwa mblack mpaka doki akasema, ” Kameungua”.
Nyanyako ni kipofu lakini mwachie kwa kuchagua ngotha za valentine
Breathe yako sumu ukiyawn asubuhi jogoo hudedi