Origin: Unknown
Use: Budako ni jajiko wa kotiko ya Makadara Law courts? = Your dad is the judge at the Makadara Law courts?
Period: Unknown
Synonyms: Unknown
Pronounciation: (Verb) [ Koh-tee-koh ]
Relate: Stenje Karao Rundema Jajiko Kiblanda
History: Derived from the swahili word ''koti'' meaning '' court of law''
No replies yet. Start the conversation.
Budako mugly mbaka anaishia home kutoka zoo na mandizi mob amegeiwa na matourist
Buda ako ni mjinga, first time kupanda ndege alisema shukisha junction
huyu mseee ana maskio kubwa,akiinuliwa juu!,anabebwa kaa trophy
We mchafu mpaka mahindi zimegrow kwa armpits na ukijikuna zinageuka unga
Naskianga ati damu yako ni tamu jo, hadi mosquito zinakamingi na mandazi..!!