Origin: Unknown
Use: Wasee wa BoomFM wanaishia kindema = The BoomFM guys are leaving on Monday
Period: Early 2000
Pronounciation: (Noun) [ Kee-nde-ma ]
Variations: -,
History: Reverse form of English word "Monday"
No replies yet. Start the conversation.
We ni mblack mpaka ukisimama karibu na ukuta ya white watu wanafikiria eti ni shortcut wapitie thru hiyo shimo
Wewe ni fala mpaka uikiingia kwa KBS unapiga hodi na unatoa viatu
Uko mweusi mpaka kwa night class unashow meno ndio usimakiwe absent
We m-ugly, ulipokuwa mtoi masako alikufeed na feya
Mlango za gari yenyu huwa zinafungwa na vifungo za shati