Origin: Unknown
Use: Mbogi ya kimonyoski isha fika = The fun loving crew has arrived
Period: 2017 - 2018
Pronounciation: (Noun) [ Kee-mo-nyos-kee ]
No replies yet. Start the conversation.
naskia UK on a gumbo sensitive ukikula mboco moja Una hara Mani ya beans
kwenu nyinyi ni wezi hadi Ali baba and the 40 thieves walikam attacho kwenu.
We ni mweusi hadi ukipita karibu na plants zinadhani ni Dark Stage photosynthesis
Nasikia we ni mkonde mpaka uki turn una disappear
umenona hadi ukivaa t-shirt ya green unakaa kibanda ya mpesa