Ati kwenu nyinyi wachafu mpaka mkimaliza kuoga sabuni inawasengenya
Paka yenu noma mpaka ikishika panya inaitisha chumvi
Budako amevaa ngotha moja folong mbaka siku aliitoa ikaanguka halafu ikapasuka kaa nyungu
We mrefu mpaka KQ wanakuitia job ya kupanguza dirisha za ndege
wewe ni mfupi hadi unakatiaga nyasi