Origin: Unknown
Use: Nilifika home kama nime keiyo = The munite i reached at home went to sleep
Period: Mid 90's
Pronounciation: (Verb) [ Ke-ee-yo ]
No replies yet. Start the conversation.
Aty weni mchoyo adi uki enda kwa jirani upate maji ya mchele wana hi badilisa ina kuwa yamtoi kuoga
Budako ana mikono ngumu, akishika kobole, inampatia change ya mafeeu
uko na ngozi tight mpaka ukikunja ngumi macho infunguka.
wewe ni mfupi hadi unakatiaga nyasi
umenona hadi ukivaa t-shirt ya green unakaa kibanda ya mpesa