ati nyinyi wadosi mpaka mkienda ocha mnabeba nguo kwa flash disk
wewe ni mfupi hadi unabebanga fifty bob kama mabati.
wewe ni mjinga… mpaka ulirepeat kunyonya.
Manzi yako ni mkonda hadi mukienda kupanda mat unaambiwa”pole buda lakini hatubebi miwa”
Kwenu nyinyi ni wagesi mpaka coackroach zinademonstrate juu ya njaa