Budako amevaa ngotha moja folong mbaka siku aliitoa ikaanguka halafu ikapasuka kaa nyungu
Ati ulikuwa na bro wako kejani ukiskiza redio halafu mtangazaji akasema ati tunawapeleka moja kwa moja hadi uwanja wa uhuru park. Ati kuskia hivyo mkadandia redio.
huyu mseee ana maskio kubwa,akiinuliwa juu!,anabebwa kaa trophy
Balls zako bigi sana mpaka ukipiga shower unaziweka kwa rack zikauke
Ati wee ni mnono mpaka ukikalia kiti inasema paxes