were ni mfupi hadi unaendanga marathon ndani ya pekelle
Ati siz yako ni mnono mpaka chali yake humshow ‘u r 2 in a million.
naskia UK on a gumbo sensitive ukikula mboco moja Una hara Mani ya beans
Budako uhepa job kwenda kucheza katii na mboch
ATI we ni mkonde Hadi una miss mvua