Origin: Uknown
Use: Auski ule mdem mkitu ni msee wa kamjesh. = Imagine that beutifull lady she is a member of kamjesh.
Period: Late 90's
Synonyms:
Pronounciation: (Noun) [ Kam-jesh ]
History: A member of an outlawed gang of people that were manning matatu routes.
No replies yet. Start the conversation.
Kwenu muko wengi mpaka buda wenu ametengeza roundabout kwa hao.
were ni mfupi hadi unaendanga marathon ndani ya pekelle
Budako ana mikono ngumu, akishika kobole, inampatia change ya mafeeu
First time yako kuona train ulithani ni nyoka ya Mabati 😂
Nyinyi m-mesota mpaka mna-kunywanga chai na kifuniko ya Bic