Budako mugly mbaka anaishia home kutoka zoo na mandizi mob amegeiwa na matourist
kwenu mko wengi hadi mkipakuliwa dishi mwenye amekula fiti ni mwenye amelamba mwiko.
Kwenu muko wengi mpaka buda wenu ametengeza roundabout kwa hao.
Mlango za gari yenyu huwa zinafungwa na vifungo za shati
Ati umezoea kuokoa jahazi hadi safcom hukuuliza utahama lini?