NASKIA WEWE NI MZEE MPAKA NUNA MEA KITUNGU KWA MAKWAPA
Ati we ni mchoyo mpaka line yako ya YU inaitwa ME
Ati wewe ni mweusi sana hadi ukikaa kwa ukuta una kaa shortcut
We ni mkonde hadi ukiegemea ukuta inaonekana ni kama Kuna crack.
Kwenyu kuchafu mpaka mende zenu ni oboho, ati wanaambia wale new wakae ridho kwa kitchen