Origin: Unknown
Use: Umebaki na change yangu ya hamsa. = You have got my fifty shillings change.
Period: Late 80's
Synonyms: Finje, Njefi, Nichwa, Chwani, Guoko
Pronounciation: (Noun) [ ha-m-sah ]
History: Derived from the Swahili word HAMSINI which means Fifty.
No replies yet. Start the conversation.
Budako ni mjinga mpaka alipoingia kwa buu aliambia konda amshikie chuma ndio atoe pesa
Wewe ni mweusi mpaka ukitumia mtu Selfie inajiandika scratch to reveal.
Uko mweusi mpaka kwa night class unashow meno ndio usimakiwe absent
nasikia uko na nywele moja moja kama shamba ya cartoon
Na skia ww ni mkonde mpaka ukisimama Kwa wall unakaa crack