First time yako kununua ballgum mtu wa duka akakipea ya green ukasema nope ile imeiva
We ni mnono hadi ukikunywa novida huwezi get lifted!
wewe ni mfupi hadi unabebanga fifty bob kama mabati.
Tv yenyu nzee mpaka mkishuta kwa hao wasee wa kbc wanafunga mapua
ATI we ni mkonde Hadi una miss mvua