Origin: Unknown
Use: Aaah! unaringa na mimi ndio nilikugutusha = Aaah! you are bragging and i am the one who enlightened you
Period: Unknown
Synonyms: Unknown
Pronounciation: (Verb) [ Goo-too-sha ]
Relate: Mjanja Janjez Janjes Fala Tost Todhii
No replies yet. Start the conversation.
Vile nyinyi wagesi, budako akishika ten shillings, ati Moi ana baki na vest
auna nywele mbaka ukienda Kwa kinyozi una ambiwa boss atu nyoi matako
Radio yenu imezoea kisapere mpaka instead ya kusema kiss 100 inasemanga “mumunya igana”
Nyinyi ni wadosi hadi dogi zenu zina dogi za kuzichunga.
Nyinyi m-mesota mpaka mna-kunywanga chai na kifuniko ya Bic