Origin: Unknown
Use: Ni mbuyu wa mine alinigutua vako ya kuwai janta = My dad is the one who enlightened me on the way i can get a job
Period: Unknown
Synonyms: Unknown
Pronounciation: (Verb) [ Goo-too-aah ]
No replies yet. Start the conversation.
Mbuyu wako ni mrefu mpaka anauzia wasee wa ndege mahindi ya kuchoma
Kwenyu mmesota sana wezi wakiingia wanatoka na experience tu
nasikia gari yenu imezeeka hadi inavurutua na punda
Ati mtoi wenu alizaliwa akiwa mblack mpaka doki akasema, ” Kameungua”.
Ati wewe ni kichwa ngumu hadi ulikataa kuzaliwa uchi!