Origin: Uknown
Use: Mimi nilichopia geog nikiwa chuo = I learned geography when i was in school
Period: Uknown
Synonyms:
Pronounciation: (Verb) [ jog ]
Relate: Subject
History: Contraction of the word "Geography?
No replies yet. Start the conversation.
First time yako kununua ballgum mtu wa duka akakupea ya green ukasema nope ile imeiva
Radio yenu imezoea kisapere mpaka instead ya kusema kiss 100 inasemanga “mumunya igana”
wewe ni mrefu hadi una magoti tatu kama ngamia
Kwenyu kuchafu mpaka mende zenu ni oboho, ati wanaambia wale new wakae ridho kwa kitchen
Wewe ni mgreedy mpaka mother-ko akiwa na ball yako akipika chapo siku moja, ulichomoa mkono ukasema "nigeee!"