Origin: Unknown
Use: Leo Gadi Moja ana spit huko WAPI = Gadi Moja will be performing today at WAPI
Period: Early 2000
Synonyms: Unknown
Pronounciation: (Noun) [ ga-dee mo-ja ]
History: unknown
No replies yet. Start the conversation.
Asubuhi asubuhi koo na omena
Wewe ni mgreedy mpaka mother-ko akiwa na ball yako akipika chapo siku moja, ulichomoa mkono ukasema "nigeee!"
Mapua zako bigi, ukingia class charts zinaanza kudunda
Ati umesota mpaka mwizi akikam kuiba anaiba duster
Paka yenyu imeona mamovie mpaka ikifuata panya inalia tereng! tereng!