Origin: Unknown
Use: Hiyo nyongiyo ni fote = That pair of socks is 40 Shillings
Period: Early 90's
Synonyms: Tefo
Pronounciation: (Noun) [ Fo-te ]
Relate: Money Currency Counting
History: Derived from English word "forty"
No replies yet. Start the conversation.
We ni mnatty hadi ukiswitch on nokia yako,badala ya hizo mikono kusalimiana,ziugota.
Aty weni mchoyo adi uki enda kwa jirani upate maji ya mchele wana hi badilisa ina kuwa yamtoi kuoga
Budako huhepa job ku-slide na socks
Kwenu muko wengi mpaka buda wenu ametengeza roundabout kwa hao.
nasikia uko na nywele moja moja kama shamba ya cartoon