Umekonda mbaya mkicheza birikicho unajifichanga Kwa sindano
nasikia wewe ni mfupi mpaka wajua pahali shetani anaficha chupi
Nyanyako ni kipofu lakini mwachie kwa kuchagua ngotha za valentine
Ulimeza cassette ya koffi ukanyamba ndombolo
Ati we ni mchoyo mpaka line yako ya YU inaitwa ME