Ati uko na mdomo biggy hadi ungekuwa muimbaji ungetoa collabo pekee yako.
Wewe ni mrefu mpaka ni wewe huongezea jua makaa
Ati umezoea kuokoa jahazi hadi safcom hukuuliza utahama lini?
Maskio yako kubwa ukiingia hoteli chai inapoa
Wewe ni mshort mpaka ukikalia kwa pavement miguu ina hang kwa hewa