Origin: Unknown
Use: Ule konkodi alidondoka vidu kwa mat akadeadie = That tout missed his step while getting off the matatu, fell and died
Period: Unknown
Synonyms: Unknown
Pronounciation: (Inflected verb) [ de-di ]
Relate: ukata
Variations: -,
History: unknown
No replies yet. Start the conversation.
We ni mblack mpaka ukisimama karibu na ukuta ya white watu wanafikiria eti ni shortcut wapitie thru hiyo shimo
Kwenyu nyinyi wachoyo mpaka mkipika kuku mnakula kama hamjawasha stima
Kwenu nyinyi ni wagesi mpaka coackroach zinademonstrate juu ya njaa
Dogi yenyu mzee mpaka kauzi aki'come,yumtemea mate
We ni mweusi hadi ukipita karibu na plants zinadhani ni Dark Stage photosynthesis