Origin: Uknown
Use: Naenda ku dai mkwanja yangu kwa mdosi = I am going to claim money from my boss
Period: Uknown
Synonyms:
Pronounciation: (Verb) [ Daa-yii ]
History: From English Claim
No replies yet. Start the conversation.
msee akona maskio kubwa hadi anashika waves za safaricom
Nyumba yenu imejengwa na ugali, wezi wakikuja wanasema “fungueni ama tutarudi na sukuma”
ati wewe ni mblacki Hadi China ilikata iliku tengeneza
we ni mchoyo hadi unaflash.999.makarao
Nyanyako ni mdedli karate mpaka wasee wa F2 wakamchora ka baunsa