Origin: Unknown
Use: Tunaishia Costarika kujibamba= We are going to coast to have fun.
Period: Unknown
Synonyms: Mombao
Pronounciation: (Verb) [ cos-ta-ree-ka ]
Relate: Malindi Kisauni Kilifi
Variations: Costareka, Costarika,
History: Another ingeniously invented word where Costa Rica the country has been used to mean a city or area in Kenya
No replies yet. Start the conversation.
Ati umekonda mpaka we hutumia elastoplast badala ya always
We ni mblack mpaka ukisimama karibu na ukuta ya white watu wanafikiria eti ni shortcut wapitie thru hiyo shimo
Mbuyu wako ni mrefu mpaka anauzia wasee wa ndege mahindi ya kuchoma
Umezoea kula mogoka hadi unaogopa kumeza mboga
Umekonda mbaya mkicheza birikicho unajifichanga Kwa sindano