Origin: Unknown
Use: Hiyo collabo ya Jua Cali na Juliani ni kali sana - That song by Jua Cali and Juliani is quite a hit song.
Period: Unknown
Synonyms: Unknown
Pronounciation: (Noun) [ ko-la-bo ]
Relate: Pamoja
Variations: Kolabo, Colabo, Kollabo
History: Derived from English word "Collaboration"
Clarification: -,
No replies yet. Start the conversation.
Asubuhi Asubuhi avocado na arufu ya vitungu
kwenu ni ocha sana hadi sms ikifika unaipanguza vumbi
We ni mrefu mpaka ukichoka kaa unatembea mtaani unajisupport na wire za simu
Ngozi ya nyanyako ni tight mpaka aki wink, mguu yake inainuka
Wewe ni fala mpaka uikiingia kwa KBS unapiga hodi na unatoa viatu