Origin: Unknown
Use: Niliskia chubliu kuangalia nikacheki ni kilucy = When i heard of something dropping in the water, when i looked i saw it was a forty shilling coin
Period: Early 90's
Synonyms: Unknown
Pronounciation: (Verb) [ Choo-blee-ooh ]
History: Originated from the sound of just anything dropping in water
No replies yet. Start the conversation.
Aty weni mchoyo adi uki enda kwa jirani upate maji ya mchele wana hi badilisa ina kuwa yamtoi kuoga
Weh ni mnono mpaka bed yako ikona zgwembe.
Nyinyi ni wengi kwenu mpaka mlango ikifunguliwa munamwagika nje.
Ati umesota mpaka mwizi akikam kuiba anaiba duster
nasikia gari yenu imezeeka hadi inavurutua na punda