Origin: Unknown
Use: Madem wa chox ni wa kapienga jo! = Limuru Girls High school has small girls
Period: Late 70's
Synonyms: Unknown
Pronounciation: (Noun) [ ch-ox ]
Variations: Choks,
History: A creatively thought of name of a school. The school uniform is chocolate colored! :-) hence the term chox
No replies yet. Start the conversation.
Ati phone yako ni ya zamoh,ukitumiwa sms unaishia kucollect kwa post office.
Nyinyi ni wengi kwenu mpaka mlango ikifunguliwa munamwagika nje.
We ni mzee Hadi ukifanya 180 unahara bluband.
kwenu mko wengi hadi mkipakuliwa dishi mwenye amekula fiti ni mwenye amelamba mwiko.
Dame yako amekonda hadi yeye huchungulia kwa key hole na macho zote mbili.