Origin: Unknown
Use: Uki chomeka unaeza tibiwa= When you are infected you can be treated.
Period: Early 90's
Synonyms: Unknown
Pronounciation: (Verb) [ Choo-mee-kaah ]
Variations: -,
No replies yet. Start the conversation.
ati we ni mkonde Hadi una miss mvua
Tv yenyu nzee mpaka mkishuta kwa hao wasee wa kbc wanafunga mapua
nilisikia ati kwenyu mkowengi hadi mbuyu wako akimcome badala ya kusema habari yenu anasema my fellow Kenyans!
Ati mtoi wenu alizaliwa akiwa mblack mpaka doki akasema, ” Kameungua”.
Nyinyi ni wadosi hadi dogi zenu zina dogi za kuzichunga.