Origin: Unknown
Use: Niaje msee! bro wako yuko chini ya maji sana hapatikani = Wassap my guy! your brother is not available he is so much undercover
Period: Unknown
Synonyms: Chini ya waba Chini ya woiyes Chini ya maji
Pronounciation: (Noun) [ chee-nee-yah-woh-eeh-yee ]
No replies yet. Start the conversation.
ati wewe ni mblacki Hadi China ilikata iliku tengeneza
Budako uhepa job kwenda kucheza katii na mboch
We mzee na danda mbaka ulikuwa naso na onyato ati na ujamada form four bado
Nyinyi m-mesota mpaka mna-kunywanga chai na kifuniko ya Bic
Weh ni mnono mpaka bed yako ikona zgwembe.