Origin: Unknown
Use: Raundi hii nita have kuingia chini ya maji = This time round i will have to be under cover
Period: Unknown
Synonyms: Chini ya woiyes Chini ya maji
Pronounciation: (Verb) [ chee-nee-yah-wah-bah ]
History: Originated from the swahili and the sheng words. ''Chini'' is a swahili word meaning ''down'' while ''waba'' is a sheng word meaning ''water''
No replies yet. Start the conversation.
ati nyinyi wadosi mpaka mkienda ocha mnabeba nguo kwa flash disk
Mbuyu wako ni mrefu mpaka anauzia wasee wa ndege mahindi ya kuchoma
Paka yenyu imeona mamovie mpaka ikifuata panya inalia tereng! tereng!
Unamdomo bigi we hukula avocado kama njugu
naskia baba yako ni mlafi hadi huwa ana ficha gither kwa warlet