Origin: Unknown
Use: Leo mtaani ya niku tulia tu chini = To at home it will just cool runnings
Period: Mid 90's
Synonyms: Unknown
Pronounciation: (Verb) [ Che- nee-yah ma-jee ]
Relate: Mdogo mdogo Mdogos Chini ya waba Chini ya woiyes Chini ya woiye
History: Derived fro the swahili words like CHINI YA MAJI means under water
No replies yet. Start the conversation.
nasikia gari yenu imezeeka hadi inavurutua na punda
Umekonda mbaya mkicheza birikicho unajifichanga Kwa sindano
Radio yenu imezoea kisapere mpaka instead ya kusema kiss 100 inasemanga “mumunya igana”
wewe ni mrefu hadi una magoti tatu kama ngamia
Ati mtoi wenu alizaliwa akiwa mblack mpaka doki akasema, ” Kameungua”.