Mapua zako bigi, ukingia class charts zinaanza kudunda
Ati wewe bu mweusi sana hadi ukikaa kwa ukuta una kaa shortcut 😂🤣
Wewe ni mblack mpaka ukiwa karibu na makaa ya kuuza, customer anasema niwekee ile kubwa
Wewe ni mshort mpaka ukikalia kwa pavement miguu ina hang kwa hewa
Paka yenu noma mpaka ikishika panya inaitisha chumvi