Origin: Unknown
Use: Ile klabu inakuwaga na ma bouncer = That club has weiders
Period: Mid 90's
Synonyms: Obwang Kobwang Mbanyu
Pronounciation: (Noun) [ Bah-oon-sah ]
History: Derived from the english word 'BOUNCER'
No replies yet. Start the conversation.
Asubuhi asubuhi mabuyu na cools
Unamdomo bigi we hukula avocado kama njugu
Kwenyu muko wengi, ukifungua mlango watu watatu wanadunda inje
Aty weni mchoyo adi uki enda kwa jirani upate maji ya mchele wana hi badilisa ina kuwa yamtoi kuoga
Ati wewe ni mzee hadi ukizaliwa “OLD TESTAMENT” ilikuwa inaitwa “TESTAMENT”