Origin: Unknown
Use: Nitakuja baadae kubanja nawewe = I will pass by later we talk.
Period: Mid 90's
Synonyms: Unknown
Pronounciation: (Verb) [ Baa-njah ]
History: Adopted from the sheng word 'BONGA' whish means to talk.
No replies yet. Start the conversation.
We ni mblack mpaka ukisimama karibu na ukuta ya white watu wanafikiria eti ni shortcut wapitie thru hiyo shimo
Nyanyako ni kipofu lakini mwachie kwa kuchagua ngotha za valentine
Mbuyu wako ni mrefu mpaka anauzia wasee wa ndege mahindi ya kuchoma
Umeunga mpaka unatoanga ngozi ya miwa ka ndizi
Budako uhepa gumbaru, anaenda kuangalia tractor ikikata manyasi