Origin: Unknown
Use: Shiko alikaukiwa aka anza ku bangaisa na ma job za mkoko = Shiko became broke and started hussling by doing pushcart jobs
Period: Mid 2000
Synonyms: Mraa
Pronounciation: (Verb) [ Baah-ngaah-isaah ]
Relate: Search
History: Possibly from "banga" ... which means strive to look for money... usually equivalent to "Jua kali"
No replies yet. Start the conversation.
Ati umezoea kuokoa jahazi hadi safcom hukuuliza utahama lini?
Weh ni mnono mpaka bed yako ikona zgwembe.
Ati mtoi wenu alizaliwa akiwa mblack mpaka doki akasema, ” Kameungua”.
kwenu nyinyi ni wezi hadi Ali baba and the 40 thieves walikam attacho kwenu.
Dame yako amekonda hadi yeye huchungulia kwa key hole na macho zote mbili.