Origin: CBD
Use: Buuda ya ule msee alikua bandii = That guy his dad was a thief
Period: Mid 90's
Synonyms: Unknown
Pronounciation: (Inflected verb) [ Ba-ndee ]
Relate: Mugondi Msanyaji Pinji
History: Derived from the english word 'BANDIT'
No replies yet. Start the conversation.
Una kichwa so mpaka ukiwa nasaa venye watu walikuwa wakiimba hedi,shoulder....wewe ulikuwa ukiimba.. hedi,hedi hedi,hedi
nasikia weni mweusi hadi una aribia makka fashion
Nyanyako hana meno lakini ni mdedli kwa kufungua chupa ya coke
Unamatako kubwa mpaka watu hupata marao na kuidandia kama mathree
We ni mweusi hadi ukipita karibu na plants zinadhani ni Dark Stage photosynthesis