Origin: Unknown
Use: Baafo kulikuwa kuwa tu na channel jamo ya telly = Long time ago there was only one TV channel
Period: Early 80's
Pronounciation: (Noun) [ Baa-fo ]
Relate: Idhaa Ithaa Matime Baadaye
Variations: Bafo,
History: Derived from English word "before"
No replies yet. Start the conversation.
Ati wewe nimchafu mpaka ukiingia kwa lake kuswim, fish zinatoka kutema mate
We ni dentist mpro hadi unang’oa blue tooth ya phone yako.
We mchafu mpaka mahindi zimegrow kwa armpits na ukijikuna zinageuka unga
Mlango za gari yenyu huwa zinafungwa na vifungo za shati
Paka yenyu imeona mamovie mpaka ikifuata panya inalia tereng! tereng!